1/5
Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 16 screenshot 0
Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 16 screenshot 1
Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 16 screenshot 2
Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 16 screenshot 3
Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 16 screenshot 4
Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 16 Icon

Tenzi za Rohoni

Mpya tenzi 16

Clean Apps
Trustable Ranking IconTrusted
1K+Downloads
8MBSize
Android Version Icon4.1.x+
Android Version
2.4.6(01-02-2023)Latest version
5.0
(1 Reviews)
Age ratingPEGI-3
DetailsReviewsVersionsInfo
1/5

Description of Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 16

App hii inakuwezesha kupata nyimbo za injili na tenzi za rohini mpya 2019 kwenye simu yako kwa urahisi muda wowote na mahali popote.


App hii ina nyimbo za dini 161 kutoka kwenye kitabu cha nyimbo za dini cha Tenzi za Rohoni toleo jipya. Huna haja ya kubeba kitabu cha Tenzi za Rohoni au nyimbo za dini.


Pia app hii ina ala za nyimbo ambazo unaweza kusikipiliza pindi unapoimba bila kuwa na intaneti (Offline)


Neno la Kristo na likae kwa wingi ndani yenu katika hekima yote, mkifundishana na kuonyana kwa zaburi, na nyimbo na tenzi za rohoni; huku mkimwimbia Mungu kwa neema mioyoni mwenu.


★ Tenzi za Rohoni 161 za kumuimbia na kumsifu Bwana kwa nyimbo za dini.

★ Ala za tenzi bila intaneti (Offline)

★ Pata tenzi kwa urahisi kwa kutafuta kutoka kwenye orodha ya tenzi.

★ Tafuta neno lolote kwenye tenzi zote

★ Unaweza kuweka nyimbo unazizipenda kwenye orodha ya nyimbo za injili au nyimbo za dini uzipendazo

★ Kuongeza ukubwa wa maandishi katika tenzi za rohoni mpya

★ Kuchagua aina ya fonti za aya

★ Kupanga orodha ya tenzi au nyimbo za injili kwa kufuata alfabeti

Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 16 - Version 2.4.6

(01-02-2023)
Other versions
What's newBaadhi ya makosa yamerekebishwa

There are no reviews or ratings yet! To leave the first one please

-
1 Reviews
5
4
3
2
1
Info Trust Icon
Good App GuaranteedThis app passed the security test for virus, malware and other malicious attacks and doesn't contain any threats.

Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 16 - APK Information

APK Version: 2.4.6Package: tz.co.wadau.tenzizarohoni
Android compatability: 4.1.x+ (Jelly Bean)
Developer:Clean AppsPrivacy Policy:https://tenzi-za-rohoni-34349.firebaseapp.comPermissions:6
Name: Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 16Size: 8 MBDownloads: 755Version : 2.4.6Release Date: 2023-02-01 12:51:37Min Screen: SMALLSupported CPU:
Package ID: tz.co.wadau.tenzizarohoniSHA1 Signature: E1:62:9A:6A:F8:3B:CC:32:80:D4:80:EF:2E:BB:F0:81:53:F5:5C:B2Developer (CN): Robert LondoOrganization (O): WadauLocal (L): Dar es SalaamCountry (C): TZState/City (ST): Tanzania

Latest Version of Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 16

2.4.6Trust Icon Versions
1/2/2023
755 downloads8 MB Size

Other versions

2.4.5Trust Icon Versions
24/11/2022
755 downloads8 MB Size

Apps in the same category

You may also like...